bible.software › Acts › Acts 2 › Acts 2:16
Acts 2:16
La, hili ni jambo lililotabiriwa na nabii Yoeli, akisema: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But this is that which was spoken by the prophet Joel;
In Context
15Hakika watu hawa hawakulewa kama mnavyodhania, kwa kuwa sasa ni saa tatu asubuhi!
17“ ‘Katika siku za mwisho, asema Mungu, 2 nitamimina Roho wangu 2 juu ya wote wenye mwili. 1 Wana wenu na binti zenu watatabiri, 2 vijana wenu wataona maono, 2 na wazee wenu wataota ndoto. 1
Read all of Acts 2
This Verse In Other Editions
Study Acts 2:16