Acts 2:17
“ ‘Katika siku za mwisho, asema Mungu, 2 nitamimina Roho wangu 2 juu ya wote wenye mwili. 1 Wana wenu na binti zenu watatabiri, 2 vijana wenu wataona maono, 2 na wazee wenu wataota ndoto. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16La, hili ni jambo lililotabiriwa na nabii Yoeli, akisema: 1
Cross References
Genesis 6:12Mungu akaona jinsi dunia ilivyoharibika, kwa maana watu wote duniani walikuwa wameharibu njia zao.
Psalms 65:2Ewe usikiaye maombi, 2 kwako wewe watu wote watakuja. 1
Proverbs 1:23Kama mngekuwa mmeitikia karipio langu, 2 ningekuwa nimemimina roho yangu kwenu 2 na kuwafahamisha maneno yangu. 1
Isaiah 32:15mpaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu, 2 nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu. 1
Isaiah 44:3Kwa maana nitamimina maji juu ya nchi yenye kiu, 2 na vijito vya maji juu ya ardhi iliyokauka; 1 nitamimina Roho wangu juu ya watoto wako, 2 nayo baraka yangu juu ya wazao wako. 1
Isaiah 66:23Kutoka Mwezi Mpya hata mwingine, na kutoka Sabato hadi nyingine, wanadamu wote watakuja na kusujudu mbele zangu,” asema Bwana.