Acts 2:19
Nami nitaonyesha maajabu juu mbinguni, 2 na ishara chini duniani: 2 damu, moto, na mawimbi ya moshi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joel 2:30Nami nitaonyesha maajabu katika mbingu 2 na duniani: 2 damu, moto na mawimbi ya moshi. 1
Malachi 4:1“Hakika siku inakuja, itawaka kama tanuru. Wote wenye kiburi na kila mtenda mabaya watakuwa mabua makavu, na siku ile inayokuja itawawasha moto,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. “Hakuna mzizi wala tawi litakalosalia kwao.