Acts 2:20
Jua litakuwa giza 2 na mwezi utakuwa mwekundu kama damu, 1 kabla ya kuja siku ile kuu ya Bwana 2 iliyo tukufu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Na kila mtu atakayeliitia 2 jina la Bwana, ataokolewa.’
Cross References
Isaiah 13:9Tazameni, siku ya Bwana inakuja, 2 siku katili, yenye ghadhabu na hasira kali, 1 kuifanya nchi kuwa ukiwa 2 na kuwaangamiza wenye dhambi waliomo ndani yake. 1
Isaiah 24:23Mwezi utatiwa haya, nalo jua litaaibishwa; 2 kwa maana Bwana Mwenye Nguvu Zote atawala 1 juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu, 2 tena mbele ya wazee wake kwa utukufu.
Jeremiah 4:23Niliitazama dunia, 2 nayo haikuwa na umbo tena ni tupu; 1 niliziangalia mbingu, 2 mianga ilikuwa imetoweka. 1
Joel 3:14Umati mkubwa, umati mkubwa 2 katika bonde la uamuzi! 1 Kwa kuwa siku ya Bwana ni karibu 2 katika bonde la uamuzi. 1
Zephaniah 2:2kabla ya wakati ulioamriwa haujafika 2 na siku ile inayopeperusha kama makapi, 1 kabla hasira kali ya Bwana haijaja juu yenu, 2 kabla siku ya ghadhabu ya Bwana 2 haijaja juu yenu. 1
Matthew 24:29“Mara baada ya dhiki ya siku zile, 1 “ ‘jua litatiwa giza, 2 nao mwezi hautatoa nuru yake; 1 nazo nyota zitaanguka kutoka angani, 2 na nguvu za anga zitatikisika.’