Acts 2:26
Kwa hiyo moyo wangu unafurahia, 2 na ulimi wangu unashangilia; 2 mwili wangu nao utapumzika kwa tumaini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore did my heart rejoice, and my tongue was glad; moreover also my flesh shall rest in hope:
In Context
27Kwa maana hutaniacha kaburini, 2 wala hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu. 1
Cross References
Psalms 22:22Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu, 2 katika kusanyiko nitakusifu wewe. 1
Psalms 63:5Nafsi yangu itatoshelezwa 2 kama kwa wingi wa vyakula; 1 kwa midomo iimbayo 2 kinywa changu kitakusifu wewe. 1