The Bible Software
bible.softwareActsActs 2 › Acts 2:25

Acts 2:25

Kwa maana Daudi asema kumhusu yeye: 1 “ ‘Nalimwona Bwana mbele yangu daima. 2 Kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume, 2 sitatikisika. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For David speaketh concerning him, I foresaw the Lord always before my face, for he is on my right hand, that I should not be moved:

In Context

24Lakini Mungu alimfufua kutoka kwa wafu akamwondolea uchungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana yeye kushikiliwa na nguvu za mauti.

26Kwa hiyo moyo wangu unafurahia, 2 na ulimi wangu unashangilia; 2 mwili wangu nao utapumzika kwa tumaini. 1

Read all of Acts 2

Cross References

Psalms 16:8Nimemweka Bwana mbele yangu daima. 2 Kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume, 2 sitatikisika. 1

Psalms 30:6Nilipofanikiwa nilisema, 2 “Sitatikiswa kamwe.” 1

Psalms 62:6Yeye peke yake ndiye mwamba wangu na wokovu wangu; 2 ndiye ngome yangu, sitatikisika. 1

Psalms 109:31Kwa maana husimama mkono wa kuume wa mhitaji, 2 kuokoa maisha yake kutoka kwa wale wanaomhukumu.

Isaiah 41:13Kwa maana Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, 2 nikushikaye mkono wako wa kuume 1 na kukuambia, Usiwe na hofu, 2 nitakusaidia. 1

John 16:32Saa inakuja, naam, imekwisha kuwadia, mtakapotawanyika kila mmoja kwenda nyumbani kwake na kuniacha peke yangu. Lakini mimi siko peke yangu kwa sababu Baba yu pamoja nami.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 2:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 2:24Acts 2Acts 2:26 →