Acts 2:28
Umenionyesha njia za uzima, 2 utanijaza na furaha mbele zako.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou hast made known to me the ways of life; thou shalt make me full of joy with thy countenance.
In Context
27Kwa maana hutaniacha kaburini, 2 wala hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu. 1
Cross References
Psalms 4:6Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye 2 kutuonyesha jema lolote?” 2 Ee Bwana, tuangazie nuru ya uso wako. 1
Psalms 17:15Na mimi katika haki nitauona uso wako, 2 niamkapo, nitaridhika kwa kuona sura yako.
Psalms 21:6Hakika umempa baraka za milele, 2 umemfanya awe na furaha 2 kwa shangwe ya uwepo wako. 1
Psalms 42:5Ee nafsi yangu, kwa nini unasononeka? 2 Kwa nini unafadhaika hivyo ndani yangu? 1 Weka tumaini lako kwa Mungu, 2 kwa sababu bado nitamsifu, 2 Mwokozi wangu na
Proverbs 8:20Natembea katika njia ya unyofu 2 katika mapito ya haki, 1
John 14:6Yesu akawaambia, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima. Mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa kwa kupitia kwangu.