Acts 2:29
“Ndugu zangu Waisraeli, nataka niwaambie kwa uhakika kwamba baba yetu Daudi alikufa na kuzikwa, nalo kaburi lake lipo hapa mpaka leo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Umenionyesha njia za uzima, 2 utanijaza na furaha mbele zako.’
Cross References
1 Kings 2:10Kisha Daudi akapumzika pamoja na baba zake naye akazikwa katika Mji wa Daudi.
Acts 7:8Ndipo akampa Abrahamu Agano la tohara. Naye Abrahamu akamzaa Isaki na kumtahiri siku ya nane. Baadaye Isaki akamzaa Yakobo, naye Yakobo akawazaa wale wazee wetu kumi na wawili.
Acts 26:26Naam, Mfalme anajua kuhusu mambo haya yote, nami nasema naye kwa uhuru. Kwa sababu nina hakika kwamba hakuna hata mojawapo ya mambo haya asilolijua, kwa kuwa hayakufanyika mafichoni.