Acts 2:31
Daudi, akiona mambo yaliyoko mbele, akanena juu ya kufufuka kwa Kristo, + 2:31 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. kwamba hakuachwa kaburini, wala mwili wake haukuona uharibifu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
32Mungu alimfufua huyu Yesu na sisi sote ni mashahidi wa jambo hilo.
Cross References
Acts 2:27Kwa maana hutaniacha kaburini, 2 wala hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu. 1
1 Peter 1:11wakijaribu kujua ni wakati upi na katika mazingira gani ambayo Roho wa Kristo aliyekuwa ndani yao alionyesha, alipotabiri kuhusu mateso ya Kristo na utukufu ule ambao ungefuata.