Acts 20:29
Najua kwamba baada yangu kuondoka, mbwa mwitu wakali watakuja katikati yenu ambao hawatalihurumia kundi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Hata kutoka miongoni mwenu watainuka watu na kuupotosha ukweli ili wawavute wanafunzi wawafuate.
Cross References
Jeremiah 13:20Inua macho yako uone 2 wale wanaokuja kutoka kaskazini. 1 Liko wapi lile kundi ulilokabidhiwa, 2 kondoo wale uliojivunia? 1
Ezekiel 34:2“Mwanadamu, tabiri juu ya wachungaji wa Israeli, tabiri na uwaambie: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Ole wa wachungaji wa Israeli ambao hujitunza wenyewe tu! Je, haiwapasi wachungaji kutunza kundi la kondoo?
Zechariah 11:17“Ole wa mchungaji asiyefaa, 2 anayeliacha kundi! 1 Upanga na uupige mkono wake na jicho lake la kuume! 2 Mkono wake na unyauke kabisa, 2 jicho lake la kuume lipofuke kabisa!”
Matthew 10:16“Tazama, ninawatuma kama kondoo katikati ya mbwa mwitu. Kwa hiyo mwe werevu kama nyoka na wapole kama hua.
John 10:12Mtu wa kuajiriwa sio mchungaji mwenye kondoo. Amwonapo mbwa mwitu akija, yeye hukimbia na kuwaacha kondoo. Naye mbwa mwitu hulishambulia kundi na kulitawanya.
2 Peter 2:1Lakini pia waliinuka manabii wa uongo miongoni mwa watu, kama vile watakavyokuwako walimu wa uongo miongoni mwenu. Wataingiza mafundisho yasiyopatana na kweli kwa siri, hata kumkana Bwana wa pekee aliyewanunua, na hivyo kujiletea wenyewe maangamizi ya haraka.