Acts 20:37
Wote wakalia, wakamkumbatia Paulo na kumbusu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they all wept sore, and fell on Paul’s neck, and kissed him,
In Context
36Paulo alipomaliza kusema haya akapiga magoti pamoja nao wote akaomba.
Cross References
Genesis 45:14Ndipo akamkumbatia Benyamini ndugu yake na kulia, naye Benyamini akamkumbatia akilia.
1 Samuel 20:41Baada ya mvulana kwenda, Daudi akainuka kutoka upande wa kusini wa lile jiwe, naye akasujudu uso wake mpaka nchi mara tatu mbele ya Yonathani. Kisha kila mmoja akambusu mwenzake, wakalia pamoja. Lakini Daudi akalia zaidi.
2 Kings 20:3“Ee Bwana, kumbuka jinsi nilivyoenenda mbele zako kwa uaminifu na kujitoa kwa moyo wangu wote, na kufanya yaliyo mema machoni pako.” Naye Hezekia akalia kwa uchungu.
Job 2:12Walipomwona kwa mbali, ilikuwa vigumu kumtambua. Wakaanza kulia kwa sauti kubwa, wakayararua majoho yao na kujirushia mavumbi juu ya vichwa vyao.
Luke 15:20Basi akaondoka, akaenda kwa baba yake. “Lakini alipokuwa bado yuko mbali, baba yake akamwona, moyo wake ukajawa na huruma. Akamkimbilia mwanawe, akamkumbatia na kumbusu.
1 Corinthians 16:20Ndugu wote walioko hapa wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.