Acts 21:15
Baada ya haya, tukajiandaa, tukaondoka kwenda Yerusalemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And after those days we took up our carriages, and went up to Jerusalem.
In Context
14Alipokuwa hashawishiki, tukaacha kumsihi, tukasema, “Mapenzi ya Bwana na yatendeke.”
Cross References
Acts 18:22Alitia nanga Kaisaria, akaenda Yerusalemu na kulisalimu kanisa, kisha akaenda Antiokia. 1 Safari Ya Tatu Ya Paulo Kueneza Injili (18:23–21:16)
Acts 25:6Baada ya Festo kukaa miongoni mwao kwa karibu siku nane au kumi, akashuka kwenda Kaisaria na siku iliyofuata akaitisha mahakama, akaketi penye kiti chake cha hukumu, akaamuru Paulo aletwe mbele yake.