The Bible Software
bible.softwareActsActs 21 › Acts 21:14

Acts 21:14

Alipokuwa hashawishiki, tukaacha kumsihi, tukasema, “Mapenzi ya Bwana na yatendeke.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when he would not be persuaded, we ceased, saying, The will of the Lord be done.

In Context

13Lakini Paulo akajibu, “Kwa nini mnalia na kunivunja moyo? Mimi niko tayari si kufungwa tu, bali hata kufa huko Yerusalemu kwa ajili ya jina la Bwana Yesu.”

15Baada ya haya, tukajiandaa, tukaondoka kwenda Yerusalemu.

Read all of Acts 21

Cross References

1 Samuel 3:18Kwa hiyo Samweli akamwambia kila kitu, bila kumficha chochote. Ndipo Eli akasema, “Yeye ni Bwana; na afanye lile lililo jema machoni pake!”

2 Kings 20:19Hezekia akamjibu Isaya, “Neno la Bwana ulilosema ni jema.” Kwa kuwa alifikiri, “Lakini si patakuwa na amani na usalama wakati wa uhai wangu?”

Matthew 26:39Akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba akisema, “Baba yangu, kama inawezekana, kikombe hiki na kiniondokee. Lakini si kama nipendavyo mimi, bali kama upendavyo wewe.”

Luke 11:2Akawaambia, “Mnapoomba, semeni: 1 “ ‘Baba yetu (uliye mbinguni), 1 jina lako litukuzwe, 2 ufalme wako uje. 1 (Mapenzi yako yafanyike 2 hapa duniani kama huko mbinguni.) 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 21:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 21:13Acts 21Acts 21:15 →