Acts 23:14
Wakawaendea viongozi wa makuhani na wazee na kusema, “Tumejifunga pamoja kwa kiapo kwamba hatutakula wala kunywa mpaka tuwe tumemuua Paulo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Waliofanya mpango huo walikuwa zaidi ya watu arobaini.
Cross References
Isaiah 3:9Nyuso zao zinavyoonekana zinashuhudia dhidi yao, 2 hujivunia dhambi yao kama Sodoma, 2 wala hawaifichi. 1 Ole wao! 2 Wamejiletea maafa juu yao wenyewe. 1
Jeremiah 8:12Je, wanaona aibu kwa ajili ya tabia yao inayochukiza mno? 2 Hapana, hawana aibu hata kidogo, 2 hawajui hata kuona haya. 1 Kwa hiyo wataanguka miongoni mwa hao walioanguka, 2 watashushwa chini watakapoadhibiwa, 4 asema Bwana. 1
Micah 7:3Mikono yote miwili ni hodari katika kufanya ubaya, 2 mtawala anadai zawadi, 1 hakimu anapokea rushwa, 2 wenye nguvu wanaamuru wanachotaka: 2 wote wanafanya shauri baya pamoja. 1