Acts 23:15
Hivyo basi, wewe pamoja na baraza, inawapasa mkamjulishe jemadari ili amteremshe Paulo kwenu, mjifanye kama mnataka kufanya uchunguzi wa kina zaidi wa shauri lake. Nasi tuko tayari kumuua kabla hajafika hapa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 13:5Yonadabu akamwambia, “Nenda ukalale kitandani na ujifanye kuwa mgonjwa. Baba yako atakapokuja kukuona mwambie, ‘Ningependa Tamari dada yangu aje kunipatia chochote ili nile. Tafadhali mruhusu aje na kuniandalia chakula mbele yangu ningali ninamwona, ili nipate kula kutoka mkononi mwake.’ ”
Psalms 37:32Watu waovu huvizia wenye haki, 2 wakitafuta kuwaua; 1
Proverbs 1:16kwa kuwa miguu yao hukimbilia kwenye dhambi, 2 ni wepesi kumwaga damu. 1
Isaiah 59:7Miguu yao hukimbilia kwenye dhambi, 2 ni myepesi kumwaga damu isiyo na hatia. 1 Mawazo yao ni mawazo maovu; 2 uharibifu na maangamizi huonekana katika njia zao. 1
Acts 25:3Wakamsihi sana Festo, kama upendeleo kwao, aamuru Paulo ahamishiwe Yerusalemu, kwa kuwa walikuwa wanaandaa kumvizia ili wamuue akiwa njiani.