bible.software › Acts › Acts 24 › Acts 24:13
Acts 24:13
Wala hawawezi kabisa kukuthibitishia mashtaka haya wanayonishtaki kwayo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Neither can they prove the things whereof they now accuse me.
In Context
12Hawa wanaonishtaki hawakunikuta nikibishana na mtu yeyote Hekaluni au kuchochea umati wa watu katika sinagogi au mahali pengine popote mjini.
14Lakini, ninakubali kwamba mimi namwabudu Mungu wa baba zetu, mfuasi wa Njia, ile ambayo wao wanaiita dhehebu. Ninaamini kila kitu kinachokubaliana na Sheria na kile kilichoandikwa katika Manabii,
Read all of Acts 24
Cross References
1 Peter 3:16mkizitunza dhamiri zenu ziwe safi, ili wale wasemao mabaya dhidi ya mwenendo wenu mzuri katika Kristo waaibike kwa ajili ya masingizio yao.
This Verse In Other Editions
Study Acts 24:13