Acts 24:14
Lakini, ninakubali kwamba mimi namwabudu Mungu wa baba zetu, mfuasi wa Njia, ile ambayo wao wanaiita dhehebu. Ninaamini kila kitu kinachokubaliana na Sheria na kile kilichoandikwa katika Manabii,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Wala hawawezi kabisa kukuthibitishia mashtaka haya wanayonishtaki kwayo.
Cross References
1 Chronicles 29:18Ee Bwana, Mungu wa baba zetu Abrahamu, Isaki na Israeli, weka shauku hii ndani ya mioyo ya watu wako daima na uifanye mioyo yao iwe na uaminifu kwako.
Amos 8:14Wale waapao kwa aibu ya Samaria, 2 au kusema, ‘Hakika kama miungu yenu iishivyo, ee Dani,’ 1 au ‘Hakika kama mungu wa Beer-Sheba aishivyo’: 2 wataanguka, wala hawatasimama tena.”
Matthew 7:12Kwa hiyo chochote mnachotaka mtendewe na watu, ninyi nanyi watendeeni vivyo hivyo. Kwa kuwa hii ndiyo Sheria na Manabii. 1 Njia Nyembamba Na Njia Pana
Matthew 22:40Amri hizi mbili ndizo msingi wa Sheria na Manabii.” 1 Swali Kuhusu Mwana Wa Daudi (Marko 12:35-37; Luka 20:41-44)
Luke 16:16“Sheria na Manabii vilihubiriwa mpaka kuja kwa Yohana Mbatizaji. Tangu wakati huo habari njema za Ufalme wa Mungu zinahubiriwa, na kila mmoja hujiingiza kwa nguvu.
Luke 24:27Naye akianzia na Sheria ya Mose na Manabii wote, akawafafanulia jinsi Maandiko yalivyosema kumhusu yeye.