Acts 25:1
Siku tatu baada ya Festo kuwasili Kaisaria kuchukua wajibu wake mpya, alipanda kwenda Yerusalemu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now when Festus was come into the province, after three days he ascended from Caesarea to Jerusalem.
In Context
Cross References
Acts 8:40Filipo akajikuta yuko Azoto, akasafiri akihubiri Injili katika miji yote mpaka alipofika Kaisaria.
Acts 21:15Baada ya haya, tukajiandaa, tukaondoka kwenda Yerusalemu.
Acts 25:5Baadhi ya viongozi wenu wafuatane nami na kutoa mashtaka dhidi ya mtu huyo huko, kama amekosa jambo lolote.”