Acts 25:23
Siku iliyofuata Agripa na Bernike walifika kwa fahari kubwa wakaingia katika ukumbi wa mahakama, pamoja na majemadari wa jeshi na watu mashuhuri wa mji. Ndipo kwa amri ya Festo, Paulo akaletwa ndani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ecclesiastes 1:2“Ubatili mtupu! Ubatili mtupu!” 2 Mhubiri anasema. 1 “Ubatili mtupu! 2 Kila kitu ni ubatili.” 1
Isaiah 14:11Majivuno yako yote yameshushwa mpaka kuzimu, 2 pamoja na kelele ya vinubi vyako, 1 mafunza yametanda chini yako, 2 na minyoo imekufunika. 1
Ezekiel 30:18Huko Tahpanhesi mchana utatiwa giza 2 nitakapovunja kongwa la Misri; 2 hapo kiburi cha nguvu zake kitakoma. 1 Atafunikwa na mawingu 2 na vijiji vyake vitatekwa. 1
Ezekiel 33:28Nitaifanya nchi kuwa ukiwa na utupu na kiburi cha nguvu zake zitafikia mwisho, nayo milima ya Israeli itakuwa ukiwa ili mtu yeyote asipite huko.
Acts 9:15Lakini Bwana akamwambia Anania, “Nenda! Mtu huyu ni chombo changu kiteule nilichokichagua, apate kulichukua Jina langu kwa watu wa Mataifa na wafalme wao na mbele ya watu wa Israeli.
Acts 25:13Baada ya siku kadhaa Mfalme Agripa na Bernike wakapanda kuja Kaisaria kumsalimu Festo.