Acts 26:23
kwamba Kristo + 26:23 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. atateswa, na kwamba yeye atakuwa wa kwanza kufufuka kutoka kwa wafu, na atatangaza nuru kwa watu wake na kwa watu wa Mataifa.” 1 Paulo Aeleza Juu Ya Kuhubiri Kwake
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 3:15Nami nitaweka uadui 2 kati yako na huyo mwanamke, 2 na kati ya uzao wako na wake, 1 yeye atakuponda kichwa, 2 nawe utamuuma kisigino.”
Psalms 22:1Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? 2 Kwa nini uko mbali hivyo kuniokoa? 2 Mbali hivyo na maneno ya kuugua kwangu? 1
Daniel 9:24“Majuma sabini yameamriwa kwa ajili ya watu wako na kwa ajili ya mji wako mtakatifu, ili kumaliza makosa, kukomesha dhambi, kufanya upatanisho kwa ajili ya uovu, kuleta haki ya milele, kutia muhuri maono na unabii, na pia kumtia mafuta yeye aliye mtakatifu sana.
Zechariah 13:7“Amka, ee upanga, dhidi ya mchungaji wangu, 2 dhidi ya mtu aliye karibu nami!” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 “Mpige mchungaji, 2 nao kondoo watatawanyika, 1 nami nitageuza mkono wangu 2 dhidi ya walio wadogo, 1
Luke 2:32nuru kwa ajili ya ufunuo kwa watu wa Mataifa 2 na kwa ajili ya utukufu kwa watu wako Israeli.”
Luke 24:26Je, haikumpasa Kristo + 24:26 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. kuteswa kwa njia hiyo na kisha aingie katika utukufu wake?”