Acts 27:13
Upepo mtulivu ulipoanza kuvuma toka kusini, wakadhani kuwa wangeweza kufikia lengo lao, hivyo wakangʼoa nanga na kusafiri wakipita kandokando ya pwani ya kisiwa cha Krete.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Lakini baada ya muda mfupi ikavuma tufani kubwa iitwayo “Eurakilo” toka kisiwa cha Krete.
Cross References
Job 37:17Wewe unayeshindwa na joto katika nguo zako 2 wakati nchi imenyamazishwa kimya bila upepo wa kusini, 1
Song of Solomon 4:16Amka, upepo wa kaskazini, 2 na uje, upepo wa kusini! 2 Vuma juu ya bustani yangu, 2 ili harufu yake nzuri iweze kuenea mpaka ngʼambo. 1 Mpendwa wangu na aje bustanini mwake 2 na kuonja matunda mazuri sana.