Acts 27:14
Lakini baada ya muda mfupi ikavuma tufani kubwa iitwayo “Eurakilo” toka kisiwa cha Krete.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But not long after there arose against it a tempestuous wind, called Euroclydon.
In Context
Cross References
Exodus 14:21Ndipo Mose akanyoosha mkono wake juu ya bahari, naye Bwana akayasukuma maji ya bahari nyuma kwa upepo mkali wa mashariki usiku ule wote na kupafanya nchi kavu. Maji yakagawanyika,
Ezekiel 27:26Wapiga makasia wako wanakupeleka 2 mpaka kwenye maji makavu. 1 Lakini upepo wa mashariki umekuvunja vipande vipande 2 katika moyo wa bahari. 1
Matthew 8:24Ghafula, kukainuka dhoruba kali baharini hata mashua ikaanza kufunikwa na mawimbi, lakini Yesu alikuwa amelala usingizi.