Acts 27:26
Lakini hata hivyo meli yetu itakwama kwenye kisiwa fulani.” 1 Maangamizi Ya Meli
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Howbeit we must be cast upon a certain island.
In Context
25Hivyo jipeni moyo, enyi watu, kwa kuwa ninamwamini Mungu kwamba yatakuwa kama vile alivyoniambia.’
Cross References
Acts 27:17Watu walipokwisha kuivuta mashua hiyo na kuiingiza katika meli, waliifunga kwa kamba chini ya meli yenyewe ili kuzishikanisha pamoja. Wakiogopa kupelekwa kwenye mchanga karibu na pwani ya Sirti, wakashusha matanga wakaiacha meli isukumwe na huo upepo.
Acts 28:1Baada ya kufika nchi kavu salama, ndipo tukafahamu kwamba jina la kile kisiwa ni Malta.