Acts 27:25
Hivyo jipeni moyo, enyi watu, kwa kuwa ninamwamini Mungu kwamba yatakuwa kama vile alivyoniambia.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore, sirs, be of good cheer: for I believe God, that it shall be even as it was told me.
In Context
26Lakini hata hivyo meli yetu itakwama kwenye kisiwa fulani.” 1 Maangamizi Ya Meli
Cross References
Numbers 23:19Mungu si mtu, hata aseme uongo, 2 wala yeye si mwanadamu, hata ajute. 1 Je, anasema, kisha asitende? 2 Je, anaahidi, asitimize? 1
Luke 1:45Amebarikiwa yeye aliyeamini kwamba lile Bwana alilomwambia litatimizwa.” 1 Wimbo Wa Maria Wa Sifa
Acts 27:21Baada ya watu kukaa siku nyingi bila kula chakula, Paulo akasimama katikati yao akasema, “Enyi watu, iliwapasa kunisikiliza na kuacha kusafiri baharini kutoka Krete, ndipo ninyi mngekuwa mmejinusuru na uharibifu huu na hasara hii.
Romans 4:20Lakini Abrahamu hakusitasita kwa kutokuamini ahadi ya Mungu, bali alitiwa nguvu katika imani yake na kumpa Mungu utukufu,