Acts 27:3
Kesho yake tukatia nanga Sidoni, naye Juliasi akamfanyia wema Paulo, akamruhusu aende kwa rafiki zake ili wamtimizie mahitaji yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 10:15Kanaani alikuwa baba wa: 2 Sidoni mzaliwa wake wa kwanza, Hethi,
Isaiah 23:2Nyamazeni kimya, enyi watu wa kisiwani, 2 pia ninyi wafanyabiashara wa Sidoni, 2 ambao mabaharia wamewatajirisha. 1
Zechariah 9:2pia juu ya Hamathi inayopakana nayo, 2 juu ya Tiro na Sidoni, 2 ingawa wana ujuzi mwingi sana. 1
Acts 12:20Basi Herode Agripa alikuwa amekasirishwa sana na watu wa Tiro na Sidoni. Hivyo watu wa miji hiyo miwili wakaungana pamoja wakatafuta kukutana naye. Wakiisha kuungwa mkono na Blasto, mtumishi maalum wa Mfalme Herode Agripa aliyeaminika, wakaomba mapatano ya amani maana nchi zao zilitegemea nchi ya huyo mfalme kwa mahitaji yao ya chakula.
Acts 27:1Ilipoamuliwa kwamba tungesafiri kwa njia ya bahari kwenda Italia, Paulo na wafungwa wengine wakakabidhiwa kwa kiongozi mmoja wa askari aliyeitwa Juliasi, aliyekuwa wa Kikosi cha Walinzi wa Kaisari.
Acts 28:16Tulipofika Rumi, Paulo aliruhusiwa kuishi peke yake akiwa na askari wa kumlinda. 1 Paulo Ahubiri Rumi Chini Ya Ulinzi