Acts 27:37
Ndani ya meli tulikuwa jumla ya watu 276.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And we were in all in the ship two hundred threescore and sixteen souls.
In Context
36Ndipo wote wakatiwa moyo, wakaanza kula chakula.
38Baada ya watu wote kula chakula cha kutosha, wakapunguza uzito wa meli kwa kutupa ngano baharini.
Cross References
Acts 2:41Wale wote waliopokea ujumbe wa Petro kwa furaha wakabatizwa na siku ile waliongezeka watu wapatao 3,000. 1 Ushirika Wa Waumini
Romans 13:1Kila mtu na atii mamlaka inayotawala, kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, nazo mamlaka zilizopo zimewekwa na Mungu.