Acts 27:36
Ndipo wote wakatiwa moyo, wakaanza kula chakula.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then were they all of good cheer, and they also took some meat.
In Context
37Ndani ya meli tulikuwa jumla ya watu 276.
Cross References
Psalms 27:14Mngojee Bwana, 2 uwe hodari na mwenye moyo mkuu, 2 nawe, umngojee Bwana.
Acts 27:25Hivyo jipeni moyo, enyi watu, kwa kuwa ninamwamini Mungu kwamba yatakuwa kama vile alivyoniambia.’