Acts 27:44
Waliosalia wangefika nchi kavu kwa kutumia mbao au vipande vya meli iliyovunjika, hivyo ikatimia kwamba wote wakaokoka na kufika nchi kavu salama.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Amos 9:9“Kwa kuwa nitatoa amri, 2 na nitaipepeta nyumba ya Israeli 2 miongoni mwa mataifa yote, 1 kama vile nafaka ipepetwavyo katika ungo, 2 na hakuna hata punje moja itakayoanguka chini. 1
Acts 27:22Sasa ninawasihi sana, jipeni moyo mkuu kwa kuwa hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza maisha yake, ila meli itaangamia.
Acts 27:31Ndipo Paulo akamwambia yule jemadari na askari, “Hawa watu wasipobaki katika meli, hamtaweza kuokoka.”
1 Peter 4:18Basi, 1 “Ikiwa ni vigumu kwa mwenye haki kuokoka, 2 itakuwaje kwa mtu asiyemcha Mungu na mwenye dhambi?”