Acts 28:3
Paulo alikuwa amekusanya mzigo wa kuni na alipokuwa anaweka kwenye moto kwa ajili ya joto, nyoka mwenye sumu akatoka humo na kujisokotea mkononi mwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 30:6Neno kuhusu wanyama wa Negebu: 1 Katika nchi ya taabu na shida, 2 ya simba za dume na jike, 2 ya nyoka mwenye sumu kali na nyoka warukao, 1 wajumbe huchukua utajiri wao juu ya migongo ya punda, 2 hazina zao juu ya nundu za ngamia, 1 kwa lile taifa lisilokuwa na faida, 2
Isaiah 59:5Huangua mayai ya nyoka wenye sumu kali 2 na kutanda wavu wa buibui. 1 Yeyote alaye mayai yao atakufa, 2 na wakati moja lianguliwapo, nyoka hutoka humo. 1
Matthew 3:7Lakini alipowaona Mafarisayo na Masadukayo wengi wakija ili kubatizwa, aliwaambia: “Ninyi watoto wa nyoka! Ni nani aliyewaonya kuikimbia ghadhabu inayokuja?
Matthew 23:33“Ninyi nyoka, ninyi uzao wa nyoka wenye sumu! Mtaiepukaje hukumu ya jehanamu?
2 Corinthians 6:9tukiwa maarufu, lakini tukihesabiwa kama tusiojulikana; tukiwa kama wanaokufa, lakini tunaishi; tukipigwa, lakini hatuuawi;