Acts 28:6
Watu walikuwa wanangoja avimbe au aanguke ghafula na kufa. Lakini baada ya kungoja kwa muda mrefu na kuona kwamba hakuna chochote kisicho cha kawaida kilichomtokea, wakabadili mawazo yao na kuanza kusema kwamba yeye ni mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Lakini Paulo akamkungʼutia yule nyoka ndani ya moto wala yeye hakupata madhara yoyote.
Cross References
Matthew 21:9Ule umati wa watu uliomtangulia na ule uliomfuata ukapiga kelele ukisema, 1 “Hosana, + 21:9 Kiebrania kusema Okoa, basi likawa neno la shangwe. Mwana wa Daudi!” 1 “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” 1 “Hosana juu mbinguni!”
Acts 12:22Watu waliokuwa wamekusanyika wakapiga kelele, wakisema, “Hii si sauti ya mwanadamu, bali ni ya Mungu.”