Acts 3:26
Mungu alipomfufua Yesu Mwanawe, alimtuma kwenu kwanza, ili awabariki kwa kumgeuza kila mmoja wenu kutoka njia yake mbaya.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 67:6Ndipo nchi itatoa mazao yake, 2 naye Mungu, Mungu wetu, atatubariki. 1
Isaiah 59:20“Mkombozi atakuja Sayuni, 2 kwa wale wa Yakobo 2 wanaozitubu dhambi zao,” 4 asema Bwana.
Jeremiah 33:8Nitawatakasa dhambi zote walizofanya dhidi yangu, na nitawasamehe dhambi zote za uasi dhidi yangu.
Ezekiel 36:25Nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtakuwa safi, nitawatakasa kutoka uchafu wenu wote na kutoka sanamu zenu zote.
Matthew 10:5Hawa kumi na wawili, Yesu aliwatuma akawaagiza: “Msiende miongoni mwa watu wa Mataifa, wala msiingie mji wowote wa Wasamaria.
Luke 24:47Toba na msamaha wa dhambi zitatangaziwa mataifa yote kupitia jina lake kuanzia Yerusalemu.