Matthew 10:5
Hawa kumi na wawili, Yesu aliwatuma akawaagiza: “Msiende miongoni mwa watu wa Mataifa, wala msiingie mji wowote wa Wasamaria.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Simoni Mkananayo, na Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu.
6Lakini afadhali mshike njia kuwaendea kondoo wa nyumba ya Israeli waliopotea.
Cross References
Matthew 4:15“Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, 2 kwenye njia ya kuelekea baharini, 1 ngʼambo ya Yordani, 2 Galilaya ya watu wa Mataifa: 1
Luke 9:2kisha akawatuma waende wakahubiri Ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.
Luke 10:1Baada ya hayo, Bwana akawachagua wengine sabini na wawili, akawatuma wawili wawili katika kila mji na kila sehemu aliyokusudia kwenda baadaye.
Luke 17:16Akajitupa miguuni mwa Yesu akamshukuru. Yeye alikuwa Msamaria.
John 4:9Yule mwanamke Msamaria akamjibu, “Wewe ni Myahudi na mimi ni Msamaria. Yawezekanaje uniombe nikupe maji ya kunywa?” (Wayahudi walikuwa hawashirikiani kabisa na Wasamaria.)
John 4:22Ninyi Wasamaria mnaabudu msichokijua. Sisi Wayahudi tunamwabudu Mungu tunayemjua kwa sababu wokovu unatoka kwa Wayahudi.