bible.software › Acts › Acts 3 › Acts 3:7
Acts 3:7
Petro akamshika yule mtu kwa mkono wa kuume akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikapata nguvu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he took him by the right hand, and lifted him up: and immediately his feet and ankle bones received strength.
In Context
6Ndipo Petro akamwambia, “Sina fedha wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, tembea!”
8Akaruka juu na kusimama, akaanza kutembea. Kisha akaingia Hekaluni pamoja na Petro na Yohana, huku akitembea na kurukaruka na kumsifu Mungu.
Read all of Acts 3
Cross References
Mark 5:41Akamshika mtoto mkono, akamwambia, “Talitha koum!” + 5:41 Talitha koum ni lugha ya Kiaramu. (maana yake ni, “Msichana, nakuambia: amka!”)
Luke 13:13Yesu alipomwekea mikono yake, mara akasimama wima akaanza kumtukuza Mungu.
This Verse In Other Editions
Study Acts 3:7