Mark 5:41
Akamshika mtoto mkono, akamwambia, “Talitha koum!” + 5:41 Talitha koum ni lugha ya Kiaramu. (maana yake ni, “Msichana, nakuambia: amka!”)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 33:9Kwa maana Mungu alisema, na ikawa, 2 aliamuru na ikasimama imara. 1
Mark 1:41Yesu, akiwa amejawa na huruma, akanyoosha mkono wake akamgusa, akamwambia, “Nataka. Takasika!”
Luke 8:54Yesu akamshika yule binti mkono na kuita, “Binti, amka!”
John 11:43Baada ya kusema haya, Yesu akapaza sauti yake akaita, “Lazaro, njoo huku!”
Romans 4:17Kama ilivyoandikwa: “Nimekufanya wewe kuwa baba wa mataifa mengi.” Yeye ni baba yetu mbele za Mungu, ambaye yeye alimwamini, yule Mungu anaye fufua waliokufa, na kuvitaja vile vitu ambavyo haviko kana kwamba vimekwisha kuwako. 1 Mfano Wa Imani Ya Abrahamu