Acts 4:11
Huyu ndiye 1 “ ‘jiwe ambalo ninyi wajenzi mlilikataa, 2 ambalo limekuwa jiwe kuu la pembeni.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This is the stone which was set at nought of you builders, which is become the head of the corner.
In Context
Cross References
Psalms 118:22Jiwe walilolikataa waashi, 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni. 1
Isaiah 28:16Kwa hiyo hivi ndivyo Bwana Mwenyezi asemavyo: 1 “Tazama, ninaweka jiwe katika Sayuni, 2 jiwe lililojaribiwa, 1 jiwe la pembeni la thamani kwa ajili ya msingi thabiti. 2 Yeye atumainiye kamwe hatatiwa hofu. 1
Ezekiel 2:6Nawe mwanadamu, usiwaogope wao wala maneno yao, usiogope, ingawa michongoma na miiba vinakuzunguka na unaishi katikati ya nge. Usiogope yale wasemayo wala usitishwe nao, ingawa wao ni nyumba ya uasi.
Ezekiel 3:18Nimwambiapo mtu mwovu, ‘Hakika utakufa,’ na wewe usipomwonya mtu huyo au kumshauri aache njia zake mbaya ili kuokoa maisha yake, huyo mtu mwovu atakufa katika dhambi yake na damu yake nitaidai mkononi mwako.
Zechariah 3:9Tazama, jiwe nililoliweka mbele ya Yoshua! Kuna macho saba juu ya jiwe lile moja, nami nitachora maandishi juu yake,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote, ‘nami nitaiondoa dhambi ya nchi hii kwa siku moja.
Matthew 21:42Yesu akawaambia, “Je, hamjasoma katika Maandiko kwamba: 1 “ ‘Jiwe walilolikataa waashi 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni. 1 Bwana ndiye alitenda jambo hili, 2 nalo ni la ajabu machoni petu’?