Acts 4:12
Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hakuna jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.” 1 Ujasiri Wa Petro Na Yohana Washangaza Watu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Huyu ndiye 1 “ ‘jiwe ambalo ninyi wajenzi mlilikataa, 2 ambalo limekuwa jiwe kuu la pembeni.’
Cross References
Genesis 7:19Maji yakazidi kujaa juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu chini ya mbingu yote.
Psalms 45:17Nitadumisha kumbukumbu lako katika vizazi vyote, 2 kwa hiyo mataifa watakusifu milele na milele.
Mark 16:15Akawaambia, “Enendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
John 3:36Yeyote anayemwamini Mwana ana uzima wa milele, lakini yeye asiyemwamini Mwana hatauona uzima, bali ghadhabu ya Mungu itakuwa juu yake.”
Acts 2:5Basi walikuwepo Yerusalemu Wayahudi wanaomcha Mungu kutoka kila taifa chini ya mbingu.
1 Corinthians 3:11Kwa maana hakuna mtu yeyote awezaye kuweka msingi mwingine wowote isipokuwa ule uliokwisha kuwekwa, ambao ni Yesu Kristo.