The Bible Software
bible.softwareActsActs 4 › Acts 4:24

Acts 4:24

Watu waliposikia hayo, wakainua sauti zao, wakamwomba Mungu kwa pamoja, wakisema, “Bwana Mwenyezi, uliyeziumba mbingu na nchi na bahari, na vitu vyote vilivyomo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when they heard that, they lifted up their voice to God with one accord, and said, Lord, thou art God, which hast made heaven, and earth, and the sea, and all that in them is:

In Context

23Punde Petro na Yohana walipoachiliwa, walirudi kwa waumini wenzao wakawaeleza waliyoambiwa na viongozi wa makuhani na wazee.

25Wewe ulisema kwa Roho Mtakatifu kupitia kwa kinywa cha baba yetu Daudi, mtumishi wako, ukasema: 1 “ ‘Mbona mataifa wanaghadhibika, 2 na kabila za watu zinawaza ubatili? 1

Read all of Acts 4

Cross References

2 Kings 19:15Naye Hezekia akamwomba Bwana akisema: “Ee Bwana, Mungu wa Israeli, uketiye juu ya kiti cha enzi kati ya makerubi, wewe peke yako ndiwe Mungu juu ya falme zote za dunia. Wewe umeumba mbingu na nchi.

Nehemiah 9:6Wewe peke yako ndiwe Bwana. Uliziumba mbingu, hata mbingu za mbingu na jeshi lote la mbinguni, dunia na vyote vilivyo ndani yake, na pia bahari na vyote vilivyomo ndani yake. Huvipa vitu vyote uhai, nalo jeshi la mbinguni linakuabudu wewe.

Psalms 62:5Ee nafsi yangu, upumzike, kwa Mungu peke yake, 2 tumaini langu latoka kwake. 1

Psalms 109:29Washtaki wangu watavikwa fedheha, 2 na kufunikwa na aibu kama joho. 1

Isaiah 51:12“Mimi, naam mimi, 2 ndimi niwafarijie ninyi. 1 Ninyi ni nani hata kuwaogopa 2 wanadamu wanaokufa, 2 wanadamu ambao ni majani tu, 1

Jeremiah 20:13Mwimbieni Bwana! 2 Mpeni Bwana sifa! 1 Yeye huokoa uhai wa mhitaji 2 kutoka mikononi mwa waovu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 4:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 4:23Acts 4Acts 4:25 →