bible.software › Acts › Acts 4 › Acts 4:25
Acts 4:25
Wewe ulisema kwa Roho Mtakatifu kupitia kwa kinywa cha baba yetu Daudi, mtumishi wako, ukasema: 1 “ ‘Mbona mataifa wanaghadhibika, 2 na kabila za watu zinawaza ubatili? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who by the mouth of thy servant David hast said, Why did the heathen rage, and the people imagine vain things?
In Context
24Watu waliposikia hayo, wakainua sauti zao, wakamwomba Mungu kwa pamoja, wakisema, “Bwana Mwenyezi, uliyeziumba mbingu na nchi na bahari, na vitu vyote vilivyomo.
26Wafalme wa dunia wamejipanga, 2 na watawala wanakusanyika pamoja 2 dhidi ya Bwana 2 na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake.’
Read all of Acts 4
Cross References
Acts 1:16“Ndugu zangu, ilibidi Andiko litimie ambalo Roho Mtakatifu alitabiri kupitia kwa Daudi kumhusu Yuda aliyewaongoza wale waliomkamata Yesu.
This Verse In Other Editions
Study Acts 4:25