Acts 4:29
Sasa, Bwana angalia vitisho vyao na utuwezeshe sisi watumishi wako kulinena neno lako kwa ujasiri mkuu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Wao wakafanya yale ambayo uweza wako na mapenzi yako yalikuwa yamekusudia yatokee tangu zamani.
Cross References
Isaiah 58:1“Piga kelele, usizuie. 2 Paza sauti yako kama tarumbeta. 1 Watangazieni watu wangu uasi wao, 2 na kwa nyumba ya Yakobo dhambi zao. 1
Lamentations 3:50hadi Bwana atazame chini 2 kutoka mbinguni na kuona. 1
Ezekiel 2:6Nawe mwanadamu, usiwaogope wao wala maneno yao, usiogope, ingawa michongoma na miiba vinakuzunguka na unaishi katikati ya nge. Usiogope yale wasemayo wala usitishwe nao, ingawa wao ni nyumba ya uasi.
Micah 3:8Lakini kuhusu mimi, nimejazwa nguvu, 2 nimejazwa Roho wa Bwana, 2 haki na uweza, 1 kumtangazia Yakobo kosa lake, 2 na Israeli dhambi yake. 1
Acts 4:17Lakini ili kuzuia jambo hili lisiendelee kuenea zaidi kwa watu, ni lazima tuwaonye watu hawa ili wasiseme tena na mtu yeyote kwa jina la Yesu.”
Acts 4:31Walipokwisha kuomba, mahali walipokuwa wamekutanika pakatikiswa, wote wakajazwa na Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa ujasiri. 1 Walioamini Washirikiana Mali Zao