Acts 4:30
Nyoosha mkono wako ili kuponya wagonjwa na kutenda ishara na miujiza kwa jina la Mwanao mtakatifu Yesu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 6:6“Kwa hiyo, waambie Waisraeli: ‘Mimi ndimi Bwana, nami nitawatoa mtoke katika kongwa la Wamisri. Nitawaweka huru mtoke kuwa watumwa wao, nami nitawakomboa kwa mkono ulionyooshwa pamoja na matendo makuu ya hukumu.
Jeremiah 15:15Wewe unafahamu, Ee Bwana, 2 unikumbuke na unitunze mimi. 2 Lipiza kisasi juu ya watesi wangu. 1 Kwa uvumilivu wako usiniondolee mbali; 2 kumbuka jinsi ninavyoshutumiwa. 1
Luke 9:54Wanafunzi wake, yaani Yakobo na Yohana, walipoona hayo, wakasema: “Bwana, unataka tuagize moto kutoka mbinguni ili uwaangamize?”
John 4:48Yesu akamwambia, “Ninyi watu msipoona ishara na miujiza kamwe hamtaamini.”
Acts 2:43Kila mtu akaingiwa na hofu ya Mungu, nayo miujiza mingi na ishara zikafanywa na mitume.
Acts 3:16Kwa imani katika jina la Yesu, huyu mtu mnayemwona na kumfahamu ametiwa nguvu. Ni kwa jina la Yesu na imani itokayo kwake ambayo imemponya kabisa huyu mtu, kama ninyi wote mnavyoona.