Acts 5:6
Vijana wakaja, wakaufunga mwili wake sanda, wakamchukua nje kumzika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the young men arose, wound him up, and carried him out, and buried him.
In Context
7Saa tatu baadaye mkewe Anania akaingia, naye hana habari ya mambo yaliyotukia.
Cross References
Leviticus 10:4Mose akawaita Mishaeli na Elisafani, wana wa Uzieli mjomba wake Aroni, akawaambia, “Njooni hapa. Ondoeni miili ya binamu zenu mbele ya mahali patakatifu, mkaipeleke nje ya kambi.”
2 Samuel 18:17Wakamchukua Absalomu, wakamtupa katika shimo kubwa huko msituni na kulundika lundo kubwa la mawe juu yake. Huko nyuma, Waisraeli wote wakakimbilia nyumbani kwao.