Acts 5:7
Saa tatu baadaye mkewe Anania akaingia, naye hana habari ya mambo yaliyotukia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it was about the space of three hours after, when his wife, not knowing what was done, came in.
In Context
6Vijana wakaja, wakaufunga mwili wake sanda, wakamchukua nje kumzika.