Acts 5:8
Petro akamuuliza, “Niambie, je, mliuza kiwanja kwa thamani hii?” Akajibu, “Ndiyo, tuliuza kwa thamani hiyo.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Saa tatu baadaye mkewe Anania akaingia, naye hana habari ya mambo yaliyotukia.
Cross References
Acts 5:2Huku mkewe akijua kikamilifu, Anania alificha sehemu ya fedha alizopata, akaleta kiasi kilichobaki na kukiweka miguuni pa mitume.