Acts 6:15
Watu wote waliokuwa wameketi katika baraza wakimkazia macho Stefano, wakaona uso wake unangʼaa kama uso wa malaika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ecclesiastes 8:1Ni nani aliye kama mtu mwenye hekima? 1 Ni nani ajuaye maelezo ya mambo? 2 Hekima hungʼarisha uso wa mtu na kubadili ugumu wa uso wake. 1 Mtii Mfalme
Matthew 13:43Ndipo wenye haki watangʼaa kama jua katika Ufalme wa Baba yao. Yeye aliye na masikio, na asikie. 1 Mfano Wa Hazina Iliyofichwa Na Lulu
2 Corinthians 3:7Basi ikiwa ile huduma iliyoleta mauti, iliyoandikwa kwa herufi juu ya jiwe ilikuja kwa utukufu, hata Waisraeli wakawa hawawezi kuutazama uso wa Mose kwa sababu ya ule utukufu wake ingawa ulikuwa ni wa kufifia,