Acts 6:4
nasi tutatumia muda wetu kuomba na huduma ya neno.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But we will give ourselves continually to prayer, and to the ministry of the word.
In Context
Cross References
Acts 1:14Hawa wote waliungana pamoja katika maombi. Pamoja nao walikuwepo wanawake kadha, na Maria mama yake Yesu, pamoja na ndugu zake Yesu.
Acts 13:2Walipokuwa wakimwabudu Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, “Nitengeeni Sauli na Barnaba kwa kazi ile maalum niliyowaitia.”
Romans 1:9Kwa maana Mungu ninayemtumikia kwa moyo wangu wote katika kuhubiri Injili ya Mwanawe, ni shahidi wangu jinsi ninavyowakumbuka
1 Corinthians 9:16Lakini ninapohubiri Injili siwezi kujisifu maana ninalazimika kuhubiri. Ole wangu nisipoihubiri Injili!
Ephesians 3:14Kwa sababu hii nampigia Baba magoti,
Philippians 1:9Haya ndiyo maombi yangu: kwamba upendo wenu uongezeke zaidi na zaidi katika maarifa na ufahamu wote,