Acts 7:21
Waliposhindwa kumficha zaidi, wakamweka nje mtoni na binti Farao akamchukua akamtunza kama mtoto wake mwenyewe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when he was cast out, Pharaoh’s daughter took him up, and nourished him for her own son.
In Context
22Mose akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa mtu hodari kwa maneno na matendo.
Cross References
Exodus 2:2naye mwanamke huyo akapata mimba, akazaa mtoto wa kiume. Alipoona mtoto huyo ni mzuri, akamficha kwa miezi mitatu.
Hebrews 11:24Kwa imani, Mose alipokuwa mtu mzima, alikataa kuitwa mwana wa binti Farao.