Acts 7:29
Mose aliposikia maneno haya, alikimbilia huko Midiani alikokaa kama mgeni, naye akapata watoto wawili wa kiume.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then fled Moses at this saying, and was a stranger in the land of Madian, where he begat two sons.
In Context
28Je, unataka kuniua kama ulivyomuua yule Mmisri jana?’
Cross References
Exodus 2:14Yule mtu akamjibu, “Ni nani aliyekufanya mtawala na mwamuzi juu yetu? Je, unataka kuniua kama ulivyomuua yule Mmisri?” Ndipo Mose akaogopa na kuwaza, “Jambo lile nililofanya lazima limefahamika.”
Exodus 18:2Baada ya Mose kumrudisha mkewe Sipora, Yethro baba mkwe wake alimpokea