Acts 7:30
“Basi baada ya miaka arobaini kupita, malaika wa Mungu akamtokea Mose jangwani karibu na Mlima Sinai katika kichaka kilichokuwa kinawaka moto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 22:15Basi malaika wa Bwana akamwita Abrahamu kutoka mbinguni mara ya pili,
Genesis 48:15Ndipo akambariki Yosefu akisema, 1 “Mungu ambaye baba zangu 2 Abrahamu na Isaki walimtii, 1 Mungu ambaye amekuwa mchungaji 2 wa maisha yangu yote mpaka leo hii, 1
Exodus 3:6Kisha akamwambia, “Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo.” Mose aliposikia hayo, akafunika uso wake kwa sababu aliogopa kumtazama Mungu.
Exodus 19:1Mnamo mwezi wa tatu baada ya Waisraeli kuondoka Misri, siku kama iyo hiyo, wakafika katika Jangwa la Sinai.
Deuteronomy 33:16pamoja na baraka nzuri mno 2 za ardhi na ukamilifu wake, 1 na upendeleo wake yeye 2 aliyeishi kwenye kichaka 2 kilichokuwa kinawaka moto. 1 Hivi vyote na vikae juu ya kichwa cha Yosefu, 2 juu ya paji la uso la aliye mkuu 2 miongoni mwa ndugu zake. 1
Psalms 66:12Uliwaruhusu watu watukalie vichwani, 2 tulipita kwenye moto na kwenye maji, 1 lakini ulituleta kwenye nchi 2 iliyojaa utajiri tele. 1