bible.software › Acts › Acts 7 › Acts 7:31
Acts 7:31
Alipoona mambo haya, alishangaa yale maono. Aliposogea ili aangalie kwa karibu, akaisikia sauti ya Bwana, ikisema:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When Moses saw it, he wondered at the sight: and as he drew near to behold it, the voice of the Lord came unto him,
In Context
30“Basi baada ya miaka arobaini kupita, malaika wa Mungu akamtokea Mose jangwani karibu na Mlima Sinai katika kichaka kilichokuwa kinawaka moto.
32‘Mimi ndimi Mungu wa baba zako, Mungu wa Abrahamu, Isaki na Yakobo.’ Mose alitetemeka kwa hofu na hakuthubutu kutazama.
Read all of Acts 7
Cross References
Exodus 3:3Ndipo Mose akawaza, “Nitageuka sasa nione kitu hiki cha ajabu, nami nione ni kwa nini kichaka hiki hakiteketei.”
This Verse In Other Editions
Study Acts 7:31