The Bible Software
bible.softwareActsActs 7 › Acts 7:49

Acts 7:49

“ ‘Mbingu ni kiti changu cha enzi, 2 nayo dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu. 1 Mtanijengea nyumba ya namna gani? 4 asema Bwana. 2 Au mahali pangu pa kupumzikia patakuwa wapi? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Heaven is my throne, and earth is my footstool: what house will ye build me? saith the Lord: or what is the place of my rest?

In Context

48“Hata hivyo, Yeye Aliye Juu Sana hakai kwenye nyumba zilizojengwa kwa mikono ya wanadamu. Kama nabii alivyosema: 1

50Je, mkono wangu haukufanya vitu hivi vyote?’

Read all of Acts 7

Cross References

Psalms 11:4Bwana yuko ndani ya Hekalu lake takatifu; 2 Bwana yuko kwenye kiti chake cha enzi mbinguni. 1 Huwaangalia wana wa watu, 2 macho yake yanawajaribu. 1

Jeremiah 7:4Msitumainie maneno ya udanganyifu na kusema, “Hili ni Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana!”

Malachi 1:11Jina langu litakuwa kuu miongoni mwa mataifa, kuanzia mawio ya jua hata machweo yake. Kila mahali uvumba na sadaka safi zitaletwa kwa Jina langu, kwa sababu Jina langu litakuwa kuu miongoni mwa mataifa,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.

Matthew 23:22Naye aapaye kwa mbingu, huapa kwa kiti cha enzi cha Mungu na kwa yeye aketiye juu ya kiti hicho.

John 4:21Yesu akamjibu, “Mwanamke, niamini, wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala huko Yerusalemu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 7:49

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 7:48Acts 7Acts 7:50 →